Hatuna budi kuulilia uzima kwa sababu uzima unaweza kutupatia dhahabu na shaba, ila kamwe dhahabu na shaba haviwezi kutupa uzima.
Ikiwa umewahi kuguswa na kile tunachokifanya, tunakukaribisha kwa upole kabisa kuunga mkono jitihada zetu iwe kwa kuchangia kiasi chochote au hata kutangaza biashara yako kupitia jukwaa hili.